Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







#APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
===0677445508
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Bei:350,000 Kwa mwezi × 6
====
Umbali KM 2.5 Usafiri bajaji zipo
===
Ndani ya fence zipo 2 KILA MMOJA anajitegemea umeme na maji
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
===