Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Ni Apartment Mpya Kwenye Compound Hakuna Fensi Ila Usalama Upo.Hapa Kuna Nyumba Ya Vyumba 3 Vya Kulala Master Jiko Sebule Na Public Toilet Inapangishwa Bei 350k Miezi 3 Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.
Muhitaji piga 0688 412 890.