Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


MPYA MPYA. KABISA
APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING NA PEVA ZINAWEKWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI 300,000
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347