Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA,ZIPO 2 TU KWENYE FENSI 2
ILA MOJAWAPO NDO IPO WAZI
KODI 400,000X6
LOCATION: MSUGURI
1.5KM
Pikipiki 1000
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO MBILI TU NA KILA MOJA INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI MWISHO
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE 20,000
HII NYUMBA NI YA KISASA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
##0655256419



















