Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


🏢 APARTMENTS FOR RENT – SINZA MADUKANI 🏢
✨ 2 Bedroom Apartment – 1,200,000 TZS / mwezi
✨ 3 Bedroom Apartment – 1,300,000 TZS / mwezi
📍 Location: Sinza Madukani – eneo salama na rahisi kufikika
✅ Vyumba vya kisasa, sebule kubwa, jiko zuri
✅ Parking ipo, maji na umeme vipo muda wote
✅ Inafaa kwa makazi ya kifamilia au mtu anayependa comfort
🌹AIR BNB ALLOWED
🚨 agent commission and service charge 30,000
📞 Wasiliana sasa: 0678512666
⚡ Hizi siyo apartments za kawaida… ni lifestyle ya kisasa ndani ya Sinza! ⚡