Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment kali sana
@
Inapangishwa
@
Bei 1,000,000 ( maongez) kwa mwez
@
Mahali sinza mgabe
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 3 sebule jiko choo
@
Vyumba vyote ni master
@
Ipo kwenye fensi parkingi ipo
@
Umeme na maji mita yako
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687