Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







(500,000 × 6) TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI
FUNDI YUPO KAZIN KWA KASI YA 5G KUIPIGA RANGI NDAN NA MAREKEBISHO MENGINE YOTE
KODI NI 500,000 × 6 ILA UKIJA KUIANGALIA NA UKAIPENDA MWENYE NYUNBA ANAZUNGUMZIKA KIDOGO
SIFA ZAKE
========
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DAINING JIKO NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE HAP0
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















