Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE ABC TABATA KINYEREZI MUHANGA
Bei:350,000/ Per Month
Malipo miezi 6
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
📍LOCATION: TABATA KINYEREZI MUHANGA
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- Dakika 2 kutoka Main Road
➡️SIFA YA NYUMBA 🏠
__________________________________
📍Vyumba 3 Vya Kulala
📍1 Master bedroom
📍Sebule
📍Dinning Room
📍Jiko Safi
📍Mafeni juu
📍Public toilet
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️Apartments za kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls:
☎️0677445508