Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#APARTMENT INAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#PUBLICK TOILET NDANI
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#TAILZY
#TNG JUU
#ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#LOCATION #UBUNGO_MAKOKA
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#USAFIRI BAJAJ 700 KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
#SERVICER_CHARGER_15000
#0785889413๐ฅ๐ฅ