Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam







NYUMBA (APARTMENT 3) TATU ZINAUZWA ZOTE PAMOJA UKONGA MOMBASA DAR ILALA
ππBEI MILLION 55ππ
π0.3 KM KUTOKA LAMI
APARTMENT ZIKO TATU NDANI YA FENSI NA ZOTE ZINA WAPANGAJI
πJUMLA YA VYUMBA VYA KULALA NI 8π
βοΈAPARTMENT YA KWANZA INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU VYA KULALA #MASTA MOJA, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
βοΈAPARTMENT YA PILI INA SEBULE, CHUMBA KIMOJA CHA KULALA CHENYE CHOO CHAKE NDANI - HAPO ZIPO X2
βοΈAPARTMENT YA TATU INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA CHENYE CHOO CHAKE NDANI
βοΈKILA APARTMENT INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
WHATSAP AU PIGA
0788156493
0614130017
0760053111