Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Saranga, Dar Es Salaam







STAND ALONE  INAPANGISHWA IPO SARANGA KM/  3, 5 
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA  4 VYAKULALA  MASTAR KUBWA SANA  INASEBULE INADINING  INAJIKO NA PABLICK TOILETY 
PIA INACHOO CHA NJE INASEHEMU  YASTOR
BAADHI YA VYUMBA AKUNA TAILIZY
MAJI YAPO YAKUTOSHA NA SIMTANK  LIPO
KODI 300,000/=X 6 
SIO CHINI YA MIEZI IYO
KUONA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
=====
Cont
0683234124
0718367179
















