Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


🔥 NYUMBA MZURI SANA INAPANGA – TABATA SEGEREA MWISHO! 🔥
Stand Alone Kali Sana – Inafaa kabisa kwa familia au wanaopenda maisha ya starehe! 💎
✅ Vyumba 4 vya kulala (master)
✅ Sebule kubwa + Dining
✅ Jiko la kisasa lenye makabati marefu
✅ Store + Chumba cha kufulia
✅ Electric fence + Maji ya bomba 24/7
✅ Panafikika kirahisi, karibu na barabara kuu
Kodi: Tsh 1.8M (inapatikana maongezi kidogo)
Malipo: Miezi 6 mbele
Udalali: Sawa na kodi ya mwezi 1
Kupelekwa: 20,000 tu
Hii ni nyumba ya maana kabisa, wanaopenda vitu safi na vizuri waje haraka before inachukuliwa! 😍
📞 Piga sasa: 0688 412 890
(Muhitaji tu ndo anapiga, usipoteze nafasi!) 🚀


















