Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
Ipo Goba marobo center
Ni mita 500 kutoka marobo center
Ina vyumba 4 vyote master
Sitting room kubwa
Dinning
Jiko na store
Choo Cha public
Sqm 800
Bei mil 150
Umeme maji yapo 24
Nje kuna jiko,store na choo
Contact
O747196597 WhatsApp
0718618508
0696288247