Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA TATU-PAMOJA, TSHS.120 MILIONI, GOBA-MAGETI.
Hapa kuna nyumba kubwa 2 na ndogo moja.
Jumla kwa nyumba zote 3, kuna jumla ya Vyumba 7.
Nyumba kubwa Ina vyumba 4.
Yapili ina vyumba 3 na ndogo kabisa ina vyumba vya kulala.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
__________________mpg