Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
EBWANA HII NYUMBA NI KUBWA ALAFU NI NZURI SANA WATEJA WANGU#2025
NYUMBA IPO KIBAHA MSUFINI UPANDE WA KULIA KAMA UNATOKA MBEZ
UMBALI WA KM 4 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
UKUBWA WA ENEO NI HEKA MOJA NA POINT M SQM 5000
NYUMBA HII INA ENEO KUBWA SANA NA KUMEJENGWA MABANDA YA KUKU,NG'OMBE,NA KUNA KISIMA KUBWA CHA MAJI
NYUMBA IPO MTAA TULIVU SANA
#SIFA_ZA_NYUMBA
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM KWA LUGHA RAHIS NYUMBA HII INA VYUMBA VINNE NA VYOTE VINA CHOO NDAN
SEBULE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET
STORE
BEI MILLION 75/= TU
☎️ #0757208653
SITE VISIT 30000