Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


- *GOROFA ML 330 SQM 1,300 INA HATI MILIKI REGISTERED, IPO KIGAMBONI MKOKOZI(KIBADA ROAD CONNECT) INAUZWA (BINAFSI)*.
- *LOC*; Mkokozi area, Kigamboni municipality.
- *AREA*:~sqm 1'300
- *Mark*; Kituo Mwembe mtengu/kwa maiko gorofani.
- *PRICE*: ml 330 Approx.
- *Rooms*:Room 4 juu master ,Room 2 chini master 1,ya kisasa sana na balcon 3 juu.
- *Distance*;900m from road/Lami.
- *UMILIKI*: Hati miliki/Title deed
-Site visit fee tsh 30'000
*Contacts*
0746 433 854