Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA 4,TSHS.75 MILIONI,KIGAMBONI-DARAJANI.
Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ipo ndani ya Fensi.
Vyumba 4(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________ery


















