Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam


23/9/2024
Nyumba inauzwa
Bei million 410 mazungumzo yapo
Hatimiliki ipo
Square meter 1000
Location kunduchi Beach
Vyumba 4 master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Contact 0745010009