Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Nkuhungu, Dodoma


‼️ NYUMBA INAUZWA‼️
YA KUMALIZIA VITU VICHACHE
UKUBWA WA KIWANJA NI
SQM 600+
MAHALI… NKUHUNGU
( ISLAHI)
MUUNDO WAKE
… VYUMBA VINNE MASTER MBILI
…SEBULE
… JIKO
… DINNING
… PUBLIC TOILET
… STORE
DOCUMENT NI HATI ✅
HUDUMA
…. FANCE TAYARI PANDE MOJA
…. MAGATE MAWILI
…. UMEME UPO SITE
…. MAJI YAPO SITE
…. IMEBAKI FINISHING
BEI MIL 45 MAONGEZI YAPO SANA
GHARAMA ZA KWENDA SITE
10,000/=PIGA CM 0763459866 / WHATSAPP


















