Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA  KUBWA YA KISASA 
INAUZWA 
TABATA KINYEREZI 
Bei yake na  million 255
Maongezi yapo. 
Sifa za nyumba >>
 vyumba 4 vya kulala
 vyumba 3 master bedrooms
 sebule kubwa, 
Jiko kubwa lenye makabati
store public toilet, bafu.
reserve water tank, 
Outside public toilet 
ya na store pia ya nje,
 electronic fenced, parking, peving block
 ukubwa wa eneo square meter 800, document zote zipo pia 
eneo limepimwa na hati ipo, ( TITLE DEED)
Location tabata kinyerezi dar es salaam tanzania
USIGOPE KUFIKA SITE , 
PIGA SIMU NDUGU MTEJA
0672 673363 
0763 219307




















