Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Ukumbi, Iringa


NYUMBA KALI NA NZURI SANA INAUZWA
LOCATION KIGAMBON KIGUGUMO UPANDE WA BAHARIN
IPO JIRANI TU NA LAMI
MTAA MZURI UMEJENGEKA VIZURI
NYUMBA NI YA GOROFA MOJA
INA JUMLA YA VYUMBA 4 VYOTE MASTER BEDROOM NA NI VIKUBWA.
JUU VITATU KUNA JIKO DOGO JUU NA UKUMBI PIA NA BALCON 3
CHINI KUNA CHUMBA KIMOJA SELF NA SITING ROOM KUBWA NA DAINING JIKO STORE NA PABLICK TOILET NA KUNA JIKO LINGINE LA NJE.
NA KUNA SEHEM YA OFICE NA GYM.
INA TITLE DID SQM 900.
BEI AMEANZIA ML 450 MAONGEZI KIDOGO YAPO.
(c/msml)


















