Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam (800 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
800 SQM
Sifa
Maelezo
#NYUMBA INAUZWA // HOUSE FOR SALE // NYUMBA INAUZWA // PLOT FOR SALE
LOCATION : GOBA
PRICE : 500Million ( Negotiable )
LAND SIZE : 800sqm
DOCUMENTS AVAILABLE : HATI IPO NA ITATOKA KWA JINA LAKO
š MAELEKEZO YA NYUMBA
-Ni Nyumba ya vyumba vinne huku vyumba viwili ni masterbedroom , sebule kubwa , dinning kubwa pamoja na choo cha wageni . Nyumba imejengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 800 na ni nyumba ambayo bado inaendelea finishing za mwisho.
NB ; Hii nyumba ni mpya na inaendelea na finishings zingine na hadi sasa mafundi wapo site na wanaendelea na hii kazi ya ujenzi , malipo na kutazama ni ruksa na utakabidhiwa nyumba ikiwa imekamilika.
CONTACT
Normal : 0626614198
Whatsapp : 0624209485
ā©IMPORTANT
Service charge : 50k for site visit
OFFICE DETAILS
#sure_real_estate_tz
Location ; Survey Near Mlimani city
Emails: surerealestate3@gmail.com



















