Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ipo kariakoo faya ipo floor ya 4 no lifth inavyumba vitatu viwili ni master bedroom sebule jiko choo Cha pablic full eice
Inapangishwa laki 7 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 mawasiliano
0787388212