Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


800K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE 
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK.12_15 KUTEMBEA KWA MIGUU 
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO 
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI NA YANJE 
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS ๐ซ 
NB;
NYUMBA BADO MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA 
ZIPO APARTIMENTS MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
ZOTE ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI ยฒโด/24 
RESERVE TANK KILA MMOJA ANA LAKE 
ILIPWE SHILINGI LAKI NANE KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA 
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA NYUMBA HAINA ZAMBI
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000 
CONT ๐
 
  0784810004 
  0779646072 
  0713545127 WhatsApp




















