Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MAWILI DK3 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 5 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 800,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8