Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA MIL 900
MAHALI: KIGAMBONI KIBADA
NAMBA: 0710013234
MAELEZO YAKE 👇
▪️GHOROFA KUBWA JUMLA INA VYUMBA 5 VYA KULALA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO STOO NA SITTING ROOM
▪️NYUMBA NDOGO INA VYUMBA 3 MATER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO STOO NA SITTING ROOM
▪️UMILIKI NI HATTI MILIKI SAFI
▪️UKUBWA WA ENEO SQM 1200
KUMBUKA GHARAMA YA KWENDA KUANGALIA NYUMBA NI 50,000/= ( ZINGATIA HII MTEJA )