Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Gongo la Mboto Majohe (Viwege kwa Mpemba), Dar Es Salaam (260 sqm)







Aina
Nyumba
Vyumba
5
Ukubwa
260 SQM
Sifa
Maelezo
..INATOKEA MARA CHACHE..
Nyumba inauzwa gongo la mboto majohe (viwege kwa mpemba) wilaya ya ilala Dar
👉BEI MILION 23 (usiogope)
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp
Vyumba v5 kimoja masta
jiko
Tailz jipsam maji umeme
❌Gari inaishia nyumba ya pili (HAIFIKI)❌ ila kuna kiwanja kwa mbele kinauzwa ukinunua gari inafika
Kwa sasa Eneo sqm 260 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga




















