Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara Suka, Dar Es Salaam (400 sqm)







Aina
Nyumba
Vyumba
5
Bafu
2
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
2.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba nzuri inauzwa milioni 40 maongezi wai fasta mwenyewe anashida sanaa
Location kimara suka km 2.5 usafiri bajaji 700 ukishuka dakika 3 umefika
Kiwanja square mita 400
Nyumba kubwa ina vyiumba 3 kimoja master siting room na jiko
Nje kuna chumba sebule na chumba kingne single vyoo vya nje Nyumba ina fence upande mmoja geti dogo aliingizi gari
Sevchage 30000 kwenda Kuona saity
PIGA SIMU:: 0672 673363 / 0763 219307




















