Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Aina
Apartment
Vyumba
1
Sifa
Maelezo
⚡️Apartment Kali na zipo Karbu na lami
⚡️chumba kimoja kikubwa , sebule na jiko la makabati
⚡️bei 400k
⚡️Location: makongo karibu na lami
⚡️Umeme unajitegemea
⚡️Ndani ya fensi
🙏🏿Karbu: 0748403079



















