Mashamba yanauzwa Bagamoyo, Mbeya


Mashamba mazuri yanapatikana Bagamoyo Talawanda
Njoo ujipatie mashamba mazuri yaliyopimwa
πBei ya ekari 1 unapata kwa tsh .1,300,000
πKila mwezi utalipa 100,000 ndani ya miezi 13
πUmbali kutoka barabara kuu km 14
πHuduma za kijamii zipo unapata kutoka mita 200 kwenye mradi
πPanafaa kwa kilimo cha nanasi mahindi nk.yanastawi sana
Safari jumamosi itakuwepo yakwenda kuona mashamba
Booking 0627004775
#maryrealestate



















