Frame ya Biashara inapangishwa Mlimani City, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Maelezo
🗣INAPANGISHWA FREM _ 📍MLIMANI CITY
Kodi 300,000/= kwa mwezi
Malipo miezi 6
💵Service Charge 30,000\=
📍Eneo MLIMANI CITY
✅Inatizama Lami
✅Umeme unajitegemea
✅Eneo lenye mzunguko wa watu ni mkubwa
✅Inafaa kwa biashara\Ofisi Mbalimbali

















