Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Hii ni frem ya office inapangishwa bei poa
ipo sinza c karibu sana na barabara Ya mwendo.
Bei Laki 2 kwa mwezi kodi ya miezi 6
PIA Kuna hizi 👇picha hakuna
Mwenge karibu na kituo Cha daladala kipya kuna frem za aina 5..
1. Tsh milion 1 ya chini mbele
2. Frem ya koridoni ya chini
tsh Laki 7
3. Frem ya juu ghorofa ya kwanza inatazama mbele tsh Laki 5
4. Frem ya juu ghorofan inazama nyuma tsh Laki 4
5. Ghorofan juu frem ya kordo tsh Laki 3 hii ya laki 3 hata miez 3 tunachukua
Wahi mteja wangu location nzur ufanye biashara
Service charge tsh 30 kuiona frem, bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja karibu sana..
Tuwasiliane Whatsapp au call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
#home #real-estate #business instagood #instagram


















