Godown/Ghala linapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


🔥 NYUMBA NZURI INAUZWA – TABATA SEGEREA CHAMA 🔥
Tajiri karibu uwekeze kwenye nyumba nzuri yenye mapato tayari.
📍 Location: Tabata Segerea Chama
🚶♂️ Dakika 3 tu kutoka kituoni
📐 Ukubwa wa eneo: SQM 700
🏠 Nyumba zipo 3 in 1
1️⃣ Nyumba kubwa (ya familia)
• Vyumba 3 vya kulala (1 Master)
• Sebule kubwa
• Dining
• Jiko la kisasa lenye makabati
• Store
• Choo cha wageni (Public)
💰 Kodi: 800,000/= kwa mwezi
⸻
2️⃣ Nyumba ya pili
• Vyumba 2 (1 Master)
• Sebule
• Jiko
• Choo cha public
💰 Kodi: 500,000/= kwa mwezi
⸻
3️⃣ Nyumba ya tatu
• Chumba 1 Master
💰 Kodi: 100,000/= kwa mwezi
⸻
💵 Jumla ya makusanyo ya kodi:
👉 1,400,000/= kwa mwezi
⸻
⚡ Huduma na miundombinu
✔️ Maji na umeme wa kujitegemea kwa kila nyumba
✔️ Kisima cha maji (hakuna shida ya maji)
✔️ Electric Fence
✔️ CCTV Cameras kwa usalama
✔️ Paving ndani ya eneo
✔️ Nyumba imara sana
📄 Hati miliki ipo
🏡 Inafaa kwa:
• Makazi binafsi
• Uwekezaji wa kupangisha
Unaweza kuishi kwenye nyumba kubwa na kupangisha zingine mbili ukaendelea kupata mapato kila mwezi.
💰 Bei: Milioni 200 (mazungumzo yapo kidogo kwa mnunuzi serious)
📞 Piga sasa: +255 688 412 890
👀 Service charge 30,000/=
Karibu tajiri tufanye biashara.
Dalali wako Wakishua.




















