Nyumba inapangishwa Bonyokwa, Dar Es Salaam


HIO APO CHUMBA SEBLE CHOO NA JIKO , NYUMBA KALI SANA  UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA NDANI YA FENSI ZIKO 3 KODI LAKI MOJA NA ELFU THEMANIN. 180000 KWA MWEZI  IPO KWA MKUA BARABARA YA KWENDA  BONYOKWA  UKISHUKA KWA MKUA  KUNA NJIA YA  YA MKATO KWA  MIGUU .  ILA UKIWA NA GAR UNAZUNGUKA KAMA UNAENDA BONYOKWA .
#0785889413



















