Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







TAREH 25/9/ NYUMBA INAPANGISHWA DAR ES SALAM TZ
MAHALI BUNJU B KIHARAKA
NYUMBA YENYE VYUMBA V3
VYUMBA V2 MASTER
SEBULE DINING PABLC JIKO MAJI UMEME FENS GET PEVA ALUMINIAM
BEI TSH LAKI 3 KWA MWENZI
MFUMO WA MALIPO MIEZ 6
KUTOKA BAGAMOYO ROD MPAKA KWENYE NYUMBA KILOMETER 3
MAWASILIANO YETU YA SIM
Piga simu O745010009 au 0742707023
UDUMA YA KUONA NYUMBA ELFU 30