Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


🌟 MWENYE MBIO NYINGI AJE AMALIZE 🌟
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
(Kama Uwanja wa Mpira)
📍 Location: Bunju B – Dakika Moja Kutoka Lami
🔹 Muundo wa Nyumba:
• 🛏️ Chumba master
• ⚡ Umeme unajitegemea
• 💧 Maji yakushare Wawili
💰 Kodi: Tsh 100,000/= kwa mwezi
📞 Wasiliana:
📲 0687 800 788
📲 0713 958 395



















