Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa;
Zipo Mbili Kwenye Fence
Location :: GOBA LASTANZA
Bei yake :: 400,000Tsh kwa mwezi(Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili, kimoja ni masta, sebule, Dinning, Jiko na choo cha wageni.
Angalizo;
🌡️Gharama za kuona nyumba zetu na malipo ya dalalijustine1 yatafanywa na mpangaji.
Call/Whatsapp;
#0679321221
dalaliyusuf_mbezibeach