Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA; (Zipo Tatu kwenye compound)
š°Tsh 500,000 kwa Mwezi
š GOBA KWA AWADHI
Maelezo;
ā Vyumba viwili (Vyote Masta)
ā Sebule kubwa
ā Jiko lenye Makabati
ā Store
ā Choo cha nje
ā Unajitegemea umeme na maji
Gharama ya kuona nyumba zetu ni Tsh 20,000
Call/Whatsapp.
0710614924
0688653940