Nyumba inapangishwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, NI MPYAAAA
,
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITANO.
LOCATION: GONGO LA MBOTO
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE, JIKO. CHOO CHA PUBLIC, MAJI NA UMEME UNAJITEGEMEA.
CONTACT: 0788156493 0614130017