Nyumba inapangishwa Ihumwa, Dodoma


NYUMBA NZURI SANAAA INAPANGISHWA MPYAA 🌱
PEKEE KWENY FENCE
📍MAHALI- IHUMWA JIRANI NA LAMI
🚪 MUUNDO
~~Vyumba V3 vya kulalaa (VYOTE MASTER)
~~sebule kubwa
—Dining
~~Store
~~jiko zuri na makabati
~~Public toilet
______________________________
HUDUMA
—ELECTRIC FENCE
—HEATER BAFUNI
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
💰MALIPO
~Bei ni 700,000Tsh @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+255627262930 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000#