Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


(350,000X4)KIBAMBA SHULE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA SHULE UMBALI WA KM 2 BODABODA SHILINGI 1000 KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU MOJA NDIO IPO WAZI
YENYE
VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM KUBWA SANA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI INA STOO INA VYOO VYA FAMILY NDANI INA TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET AIR-CONDITIONING SBULENI NA KWENYE MASTA
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU NA NUSU 350K
KODI ILIPWE MIEZI MINNE 4
NA MALIPO YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 🇹🇿👈👈
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453