Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••

NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.

HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA

ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =

GHOROFA = KODI NI 500,000

ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.

••••••••••••••••••••

NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI

ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=

••••••••••••••••••••

FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.

SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE NA KUKUANDIKIA NA MKATABA.

Piga cm. 0764575774

Dalali_Abuu_Mbezi_Kibamba
dalali_abuu_mbezi_kibamba
Dalali_Abuu_Mbezi_Kibamba

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA 💯%MASTER BEDROOM NA JIKOINAPANGISHWAKIMARA TE...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA -----Vyumba 2 vua kulala master bedroom Seble kubwa Jiko la kis...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000

House for rent Nyumba kali sana Mahali: Kimara baruti Bei: 450,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Karibu ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

House for rent Nyumba kali sana Mahali: Kimara Korogwe Dakika 8 to main road Bei: 400,000 Kwa MweziM...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 13 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200KSIFA ZAKE NI CHUMBA KI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,000 X 6🌟APARTMENT HII I...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 13 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200KSIFA ZAKE NI CHUMBA KI...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHOUmbali wa Kutembea...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE Umbali wa Kutemb...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 13 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200KSIFA ZAKE NI CHUMBA KI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6🌟APARTMENT HII...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#0742270844 #0657384670.APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,000 X 6🌟APARTMENT HII I...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE WASTANI, PUBLIC T...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASANDANI YA FENCE, USALAMA 💯%MASTER BEDROOM NA JIKOINAPANGISHWAKIMARA TE...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,000 X 6🌟APARTMENT HII I...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA KUBWA SANA YA KIFAMILIA WAPANGAJI WAWILI TU HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA ITAKUWA TAYALI MTU KU...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Location :: KIMARA SUKABei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6) Muundo wa nyumba;🌡️Vyumba viwili ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE KODI 500,000X6 LOCATION: KIMARA STOP OVER VYUMBA VIWILI VYA KULA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,000 X 6🌟APARTMENT HII I...