Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 ร 6) KIMARA STOP OVER 
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= ร 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER 
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24 
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
#PARKING KUBWA 
BEI NI 300,000/= ร 6 
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300




















