Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN  FULL MAKABATI 
KODI 180,000X6 
INAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 10/8/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA 
IPO KIMARA STOP OVER 
UMBALI KM  1 BODA 1000
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
UMEME LUKU YAKO 
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















