Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 300,000

APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 16/04/2024

BEI NI 300,0000/= X 6

๐Ÿ’ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN

BEI NI 300,000/=X 6

ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6

๐Ÿ˜๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SHILINGI ELFU MOJA HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

๐Ÿ’ฅKUNA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU ILIPWE SAMBAMBA NA KODI YA NYUMBA

PIGA SIMU

0719969102

0714903124

dalali_kimara_mbezi_kibaha
dalali_kimara_mbezi_kibaha
dalali_kimara_mbezi_kibaha

Similar items by location

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

NYUMBA NZURI MNO ILA INAHITAJI MABORESHO KIDOGO(UNDERGROUND) YA GHOROFA INAUZWA KIMARA OVER####VYUMB...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble JikoLuku yakoMaji ...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA UZWA KIMARA SUKA DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOG...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

(230,000X6)KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–HIZI APARTMENT ZIPO TANO ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,00X12) AU (450,000X6) KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROADโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–HIZI APARTME...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)KIMARA KOROGWE โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–APARTMENT NZURI SANA MPYA INAPANGISHWA ZIPO KIMARA KOROGWE UMB...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

(160,000X4)KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ’ฅ *KODI YAKE 160K X 4**#MAS...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

300K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1 USAFIRI UPO WA UHAKI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ๐ŸŒŸAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #MPYAA#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA KOROGWEUmbali wa ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA MWISHOUmbali wa Kutembea...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara korongwe kilungule km2 usafiri bajaji na d...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NEW NEW APARTMENT MPYA MOJA YA JUU INAKUWA WAZI TAREHE 30/11/2025#SEBULE KUBWA #MASTER KUBWA#JIKO KU...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment inapangishwa KIMARA KONA dk5 kutoka main roadNYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALAMaster be...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KODI 300,000X6 APARTMENT CLASSIC FOR RENT location Kimara Mwisho ipo umbal dk 7 Kwa mguu,Muondo#Chum...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NEW NEW APARTMENT MPYA MOJA YA JUU INAKUWA WAZI TAREHE 30/11/2025#SEBULE KUBWA #MASTER KUBWA#JIKO KU...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIR...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NEW NEW APARTMENT MPYA MOJA YA JUU INAKUWA WAZI TAREHE 30/11/2025#SEBULE KUBWA #MASTER KUBWA#JIKO KU...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NDUGU ZANGU NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISWA________________________________________________...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ITAKUWA WAZI TAR 20.12.2025 KUON...