Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 3 ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNA KWAKO.
CHUMBA MASTER
SEBLE
TILES
GYPSUM
SLIDE WINDOW
MAJI YANA FLOW
NDANI YA FENCE
UMEME WA KUSHEA WA 3
PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 100,000/=×3
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747