Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#MASTER KUBWA NA JIKO
------------------------------
๐Mahali: KIMARA SUKA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI (Dsm) ๐น๐ฟ
Umbali: 1Km
Pikipiki 1000
Au dakika 15 kwa miguu
MUUNDO รท
โ๏ธChumba Kikubwa Master
โ๏ธChumba kikubwa
โ๏ธ Jiko Kubwa Sana
โ๏ธMazingira Mazuri .
โ๏ธFeni Ya Juu
__________
HUDUMA รท
โ๏ธMaji (yapo Ndani dawasa)
โ๏ธLUKU Yako
๐ Ndani Ya Fensi &Parking ipo Kubwa
โโโโโโโโโ
KODI; 150,000/=x 6=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=



















