Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIYO YA CHINI KABISA NDO INAKUWA WAZI TAR 20/05/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA
.
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
.
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS NOA 500 UKISHUKA DK 2 UPO NDAN
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HARAKA
.
SERVICE CHARGE 20,000
.
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
:
CONTACT what saapp number 0689-547258