Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000 x6
《》《》《》
BEBA HELA
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA
——
BEI NAFUU SANAA HII KAMA HUAMINI NJOO UIONE BEBA NA HELA KABISAA
Chumba Master)
Sebule kubwa
Jiko Kubwa
Umeme unajitegemea Maji Dawasa
250,000/=
DK 15 KUTEMBEA KWA MIGUU KLM 1
MAWASILIANO
ENDAPO MTEJA UTAPENDA NYUMBA UTALIPA HELA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
Service charge 15,000/=
0713320608
0686334182