Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA (200,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1, TUU
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
PIA BODABODA 1000 MPAKA GETINI
====
SIFA ZA NYUMBA
>CHUMBA MASTER
SEBULE
>JIKO ZURI
>NA CHOO CHA PUBLIC NDANI KWA AJILI YA WAGENI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
#NB: NYUMBA YA KUWAHI HII MABOSS ZANGU HAIKAI HII
KODI 200,000/= × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300